ZUNGU KUWAKILISHA CCM KUWANIA NAFASI YA SPIKA WA BUNGE

...............

 Mbunge wa Jimbo la Ilala Mkoani Dar es salaam Mhe. Mussa Zungu ameteuliwa na Chama Cha Mapinduzi kugombea nafasi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muumgano wa Tanzania  baada ya kupata kura 348 dhidi ya Mhe Masele ambaye amepata kura 16 katika kura zote 364 zilizopigwa

Post a Comment

Mpya zaidi Nzee zaidi